MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
GeneralizationWe mwalimu we mwalimu mwalimu
Nimekuita mara tatu
Kwahyo majibu ya jf ya waficha id's tayar unaona yamekupa majibu ya watanzania wote!
Mwalimu halafu unakua na dhana ya kataa ndoa, wewe ndo wale FORM FOUR FAILURE mnaokimbilia ualimu pambaffffff..............! Tahiiira weeeAsubuh ya Leo nimepost Uzi ambao ukilnesha kuwa nataka kuvuruga ndoa ya Binti nilie mpenda ila akaniacha toka 2015.
Katika Uzi huo nilijipa uhusika kama nili fall in love at the first na nili invest a lot of effort kwa huyo binti. Katika Uzi huo nikasema nataka nivuruge ndoa ya huyo binti kwa Giza au Nuru.
[emoji419][emoji419] Ukweli ni kwamba Mimi ni mwalimu nilikuwa kwenye research yangu ndogo, comment za wa member wengi zilionesha Kuni attack na kunishambulia vikali kuwa mm si mwanaume wenye Akili, baada ya comment hizo nimekuja na mapendekezo yafuatayo:[emoji419]
01. Ni wakati sahihi sasa serikali kuanzisha somo la mahusiano mashuleni yaani msingi hadi vyuoni.
02. Comment za watu wengi zinaonesha wengi hawana ufahamu wa mambo ya mahusiano.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419] Mtu pekee alie jaribu ku comment kwa hekima na mariifa ni mshana Jr, I appreciate you bro[emoji419][emoji419] mwingine ni amehlo some how kaonesha ukomavu katika ushaur juu ya a mahusiano
Ni mm mwalimu daima,
Kataa ndoa
[emoji23]Ilikuwaje ukapata ualimu na upumbavu wote huo kichwani mwako?
Endeleeni kukaa na kupeana shauri za kijinga na mwalimu mweenzako. Kiufupi hiyo comment uliyojibu hakuna hata elezo la kulifanya kama point bali ongeomba reasons zilizonituma niseme hivyo siyo wakurupuka tu.Reasoning capacity yako ni ndogo kama Mbuzi!
Dah Kwa wamenitelekeza kakaπππ umeyavaa mwalimu, hata kataa ndoa crew haiji kukupa tagi ππ wamekutelekeza..
Unaonaje uwakatae na wewe urud kundini?Dah Kwa wamenitelekeza kaka
Never ever πππUnaonaje uwakatae na wewe urud kundini?
Generalization bro, akili za sisiwa bongo wengi zipo common difference is too minorHalafu kuna mwana Jf alichangia hapo huwezi chukua majibu ya humu Jf pekee ndio yakamilishe tafiti zako huo ni unyauba
Thanks for the compliment MWALIMU DAIMAAsubuh ya Leo nimepost Uzi ambao ukilnesha kuwa nataka kuvuruga ndoa ya Binti nilie mpenda ila akaniacha toka 2015.