Wanawake Wembamba kweli majority hawadumu kwenye mahusiano au hata ndoa lakini si kwa sababu uliotaja Mkuu....
Kwa Uelewa wangu mdogo:-
Wanawake wembamba hawadumu kwenye mahusiano kutokana na Maumbile yao, Vimodo ndio habar ya mjini aiseee... Sijui wa kwako alikuwaje... Anything in too much is harmful... Wako alikuwa too Mwembamba..
Wanawake wa aina hii wanatongozwa sana, hii inajenga kiburi, na ka dharau, sasa this is what eventually Fail Mahusiano yao... Wanatamanisha, Easy to Carry.. Yaan ukimuwaza yuko na jamaa mwingine, Utamaindi sana Aiseeee... Mekuu!!!! Acha kabisa.
Mwishowe unaona ni Presha, unaaamua kutulia. Na Angalia most of wanawake wembamba, kwa maana ya vimodo ni Vicheche sana, ndani ya miaka miwili unakuta keshatoka na zaidi ya wanaume watatu...