masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,380
- 19,273
Mbona vicky kamata ni bonge
na ndoa yake ya mwisho hata hakuingia kabisa yaani alinusa nusa tu
na ndoa yake ya mwisho hata hakuingia kabisa yaani alinusa nusa tu
Mmmhhh
uuuwiiiiii we ndo hujui kabisa .... wembamba ndio dili ...simpo potabo and ize hendling az lavu iz concerned...unamkunja unavotaka hata akichoka unamsapoti
siku wakileta utafiti wa mabonge uskimbie
Imekuchoma ndo hvyo tena fanya mipango mingine kama we ni kimbaumbau
uuuwiiiiii we ndo hujui kabisa .... wembamba ndio dili ...simpo potabo and ize hendling......
Hahahahaaa siku wakileta wa.mabonge nakuwa kimbaumbau kwani shngapi
Aaah tuache na sie tusifiwepo leo tu
tehe best kumbe we ni team bwenyenye?? hongera kusifiwaaaaaa
Hahaaa mi bongenyanya....nlikuwa nimeanza dayati ngoja niahirishe tu kumbe hata sie tuna soko
Te te te...kama mtu hana pa kwenda anafanyaje zaidi ya kuwa mvumilivu...
Maana usiangalie eti mtu anadumu kwenye ndoa...angalia anadumu kwenye ndoa gani? isijekuwa wanavumilia visivyovumilika...kwa sababu hakuna namna....
Hakuna kitu najivunia kama mwili wangu....unene tupa kule....
Soko letu liko juu mama,,, diet waachie wazungu
Soko letu liko juu mama,,, diet waachie wazungu
Mi team bongenyanya ila pamoja na yote mi sijivunii kuwa bonge natamani ningekuwa mwembamba
good girl ..ukizaa utapasuka yani
sie vimbaumbau imekula kwetu......