Utafiti: Wanawake wembamba hawadumu kwenye ndoa

Utafiti: Wanawake wembamba hawadumu kwenye ndoa

Wembamba ni wa ku-show nao mtaani tu, home ni miss bantu ndo anatosha vizur kwenye nyumba
 
Kheeeeeeee jaman jaman jaman siku nyingine mnatusifia siku nyingine majungu looo mnatuboa sijui kama mnalitambua hilo
 
Kama toilet paper

Lazima uwe na hasira ya kuishi na bonge...wenzio wenye viportable si umeona walivyo cool...
Sasa kama huwezi ongozana na mkeo mtaani...unawezaje kumbinjua sita kwa sita..te te te...

Wewe ndio umetoa mfano hai wa jinsi gani mnatamani wake zenu wangekuwa viportable...watoto show

Unajichanganya...huwezi sema chaguo langu bongenyanya afu useme siwezi kuongozana na mke wangu kitaani...ila kitaani naongozana na viportable

Aibu naona miye (kwa niaba ya mkeo)
 
Me mwembamba na hubby wangu hataki ninenepe na mwaka wa nane huu, ni mapenzi tu. Love is strong, uwe mfupi, mwembamba, mnene, mrefu! as long as mnaelewana, mnasikilizana, mnaheshimiana
 
Wewe nan.kasema kitu portable easy to carry!! Yaan unamkunja vile anaenda hivi anakaa utamchokaje we sema mkeo tipwa unamtaftia promo
 
Ki ukweli mm nikiwa na mwanamke mwembamba huwa nabiga sana shooo kuliko mabonge ,mabonge wengi wanafangasi....halafu kitandani yametulia km pipa

sent from toyota Allex
 
Utafiti wako umekosa vigezo vya kuwa published, kuanzia kwenye ethical consideration, number of participants used, willingness of participation to relevant of research.
Wanawake wembamba wengi wanadumu kwenye ndoa zao na mahusiano yao kiujumla
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom