Mmm!!!! HIV inarelate vip na kuchelewa kuzaa? Pia huyo dr kasema eti age ya kuzaa ni kati ya 24_28, hivo dada zetu walio na 29 yrs wanashauriwa wasizae?
Hao walikuwa na imani wakimtegemea mungu na kuwa na imani kubwa sasa kizazi chenye iman haba hiki na magonjwa lukuki hata huyo sara ilikuwa mpango wa mungu hebu niambie baada ya kuzaa mtoto isaka alizaa nan mwingine? kizazi hiki wanachoropoa mimba wakiogopa maisha madhala yake huonekana baadayeMi wasemege tu vyote kwakweli......mengine nitayatimiza kwa wakati/nafasi yangu!
Mbona kulikuwa na kina Sara, Hanna (biblical fact) n.k ambao walichelewa kupata watoto na hawakupata madhara hayo?
Unless otherwise....nipate maelezo ya kutosha! Akili yangu inanituma kwamba kuna mengi yanachangia katika hilo rather than kuchelewa tu kuzaa.
Hakuna anayekuharakisha chaguo ni lako tu,huo ni utafitiTusiarakishane bana. Maisha yenyewe haya unamalizia chuo na kukaa nyumbani miaka hata miwili ndo upate kazi ya kueleweka. .. Hapo majukumu kibao,watoto now days st kayumba aziwafai akiwa tu baby class tatakiwa nitenge kiasi cha kutosha kwa ajili ya ada.
Ngoja tu nichelewe mwanangu asitaabike.