Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

Mtu wa mwaka 1980 kijiji ni babu na watanzania alimia 80 waishi vijijini so youth in tz is not clear
 
Mgombea wa Uras Dr John Joseph Pombe Magufuli katika mikutano yake amesema watanzania watarajie ushindi mkubwa kutoka CCM kwa zaidi ya 90% kwa nafasi zote za uongozi. AMewapongeza wanainchi kwa kuendelea kutambua mchango wa CCM katika Taifa letu. CCM itazidi kuwa chama DORA na kitahakikisha kinatoa huduma stahiki kwa wanainchi wake.
 
Magufuli yupo sawa, tathmini inaonyesha hivo, ushindi wa CCM ni mkubwa sana haijawi tokea.
 
Mgombea wa Uras Dr John Joseph Pombe Magufuli katika mikutano yake amesema watanzania watarajie ushindi mkubwa kutoka CCM kwa zaidi ya 90% kwa nafasi zote za uongozi. AMewapongeza wanainchi kwa kuendelea kutambua mchango wa CCM katika Taifa letu. CCM itazidi kuwa chama DORA na kitahakikisha kinatoa huduma stahiki kwa wanainchi wake.

Hapa ushindi ni mkubwa, Magufuli anaamini anachosema.
 
Labda wa kuiba,lakini si wa kutokana na sisi wananchi, hatuwezi kuchagua rais asiyeweza kuongea hata sentensi moja sahihi ya kiingereza.Tumeaibika sana name JK,hatuwezi kuendelea kuchekwa kwa miaka 10 mingine ijayo,tutaonekana Watz wote hamnazo!!!!
 
View attachment 278949

Utafiti waonyesha Magufuli ana uwezo mkubwa wa kuwa Rais

Na Mwandishi Wetu

WAKATI kesho Chama Cha Mapinduzi(CCM) kikitarajia kufanya uzinduzi wa kampeni zake kwenye viwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam, Taasisi ya Maendeleo, Vijana, Uongozi na Utawala Bora(YDG) imetoa utafiti na kuonyesha mgombea wa nafasi ya Urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli anaongoza.

Utafiti huo ulitolewa jana mjini Dar es Salaam na Katibu Mtendaji wa taasisi hiyo, Christopher Maganila, ambaye alisema katika utafiti walioufanya kuwa endapo uchaguzi mkuu ungefanyika leo, Dk Magufuli angeshinda nafasi hiyo.

Alisema matokeo hayo, yanaonyesha Dk. Magufuli angeshinda kwa asilimia 45, huku mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa angekuwa na asilimia 10.5, huku asilimia 35 wakisema hawajaamua mgombea gani anaweza kuwa Rais kwa kuwa ni bado mapema mno.

Matokeo hayo pia yalionyesha kuwa wagombea wengine wangepata asilimia 0.1 hadi 5 huku asilimia 8 wakionekana wakisema hawajui ni mtu gani anafaa kuwa Rais kati ya wagombea waliochukua fomu za kuwania nafasi hiyo.

“Huu ni utafiti huru na umefanikiwa kufika kwenye kila mkoa lakini kwa wilaya moja kwa kuwa tumeamua kuwahi ili kuona mwamko wa wananchi katika kupiga kura na kuchagua mgombea wanayemhitaji,’’alisema.

Hata hivyo, Katibu huyo mtendaji alisema sababu nyingi walizoonekana kuzitoa wananchi kuwa Dk. Magufuli atakuwa mtendaji na mtu mwenye upeo mkubwa wa kufanya kazi endapo akipewa ridhaa.

Kwa mujibu wa Katibu huyo, alisema anaamini uchaguzi wa mwaka huu, utakuwa huru na haki kwa kuwa wananchi wameonekana kuwa na mwamko katika kuchagua kiongozi atakayewaongoza.
mods umeongwa na missm maana unakubali post za hovyo kabisa hapa but za kwetu za hovyo kama zao unazikaa...unatumika.
 
Kwa MCHICHA uliomwagwa lazima CCM iwe na mawazo ya kushinda kwa asilimia hizo.:A S 41::A S 41:
 
Mgombea wa Urais tiketi ya CCM, DR John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangazwa mshindi na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya Tano. Magufuli atapata ushindi mnono kutokana na kukubalika kwake hasa kwa vijana na akina mama.
 
hilo halina ubishi.
 
Back
Top Bottom