Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
Hongera kwa wazo vuri la kiutafiti....ila mimi kama ningepata nafasi ya kuweza kushauri on the focus ya research yako ningependa kujua ni vitu gani (qualities)vinawafanya Wakenya wawe wa tano Africa kuajiliwa Marekani, wawe wengi nchi zingine kama Rwanda ,TZ nk Wakati sisi Watz tumekaa tu na kurundikana hapa nchini bila ya kazi na kukalia kusema tumesoma!! Utafiti tunaohitaji ni ule utakao jibu mapungufu tuliyonayo Watz.....kitabia, elimu, kitamaduni, innovetiveness nk yanayosababisha tushindwe ku-export human resource na wakati huohuo ku-creat ajira zaidi hapa nchini!
Review your research methods.Wasalaam,
Nafanya utafiti kujua idadi ya Raia wa Kenya wanaofanya kazi TZ.
Kilichonisuma kufanya utafiti huu ni kwa ajili ya kujiridhisha nafsi yangu, hasa baada ya Mkenya mmoja kuniambia ''eeh TZ ndo tukitaka kuja at tutachukua kazi zenyu wote maana nyie hamko na education na skills. Kwahiyo nafanya utafiti kuona je statement yake ni kweli? Kwa kuanzia nataka niaone aina ya kazi wanazofanya Wakenya, halafu ndipo nione kama kweli sisi hatuna elimu hiyo na skills hizo.
Naomba uorodheshe wadhifa au nafasi (title) na mahali anapofanya kazi mkenya hapa nchini. Usitaje jina la mtu. Naanza kutaja.
- HRM wa NMB
acha hizo we nyie mmekimbia njaaa coz kwenu kuna ukame...hahahaaa, karibu bongo ukarimu ule bata..thanks to EAC.Magazeti yenu ya TZ ya English yanatupa job kwa vile ati watized hawajui kusema kwa English.Lakini hata ukikuja kwa hotel nyingi hapa Arusha utakuta mawaiters karibu yote ni kutoka kenya. Ati watized hawana skills za customer care.Siwezi sema security companies...banks...english medium school teachers za private... to mention few.
Sio Kenya yote kuna drought.acha hizo we nyie mmekimbia njaaa coz kwenu kuna ukame...hahahaaa, karibu bongo ukarimu ule bata..thanks to EAC.

Sio Kenya yote kuna drought.

Iko kwa north na north east peke yake.

South kenya, central kenya ni evergreen Jan-Dec.

Iyo red: ukiona nchi ina export its citizen abroad kufanya kazi basi unapaswa ujue kuwa country in question has lots of pro-active professionals.

Think tena.
Review your research methods.