Utafiti wabaini: Wanawake wafupi hatarini kwa vifo vya uzazi

Hivi tafiti ni kweli? Au ni imagination za kisayansi tu? Nimeona wakina mama wafupi wamejifungua salama, na sometimes warefu hawakufanikiwa.

ni majority Remmy lakini sio wote. Na angalia kipimo cha urefu anachoongelea hapo...urefu unaongolewa hapo ni urefu wa chini ya 150cm.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha....shukurani kwa Angalizo mkuu....hao wafupi sasa nani atawachagua kama wote tutakimbilia warefu...ukija utafiti mwingine kuhusu wanakake warefu....mbinu mbadala itakuwa ni nini?
Its a long time fact, mwanamke mwenye urefu chini ya cm 150 ana uwezekano mkubwa wa kujifungua kwa operation. Sasa inaongelewa kana kwamba imegundulika sasa. Muwe mnachagua wachumba warefu,lol
 
Back
Top Bottom