Utafiti wa uzoefu wa mahusiano sio uhuni

Utafiti wa uzoefu wa mahusiano sio uhuni

Dagger

New Member
Joined
Mar 5, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Nilisoma kitabu kinaitwa 'To understand the purpose and power of men' nikakutana na vitu vingi vikanivutia nikaamua kujaribu nihakikishe, je ni kweli?

Mambo niliyoyapata ni katika upande wa wanawake kuwa, wanawake ni feeler yaan wanahisia zaidi kwa hiyo katika mahusiano wanahitaji upendo (love), mazungumzo (conversation) na maandalizi katika tendo(affection) basi mm nikachagua mmoja wa wanawake ili nitafiti ukweli wa maelezo ya kitabu kile ila niliyemchagua hakuwa akilini kwangu na kwa ajiri ya utafiti nikapanga ntatumia miezi mitatu kitu cha ajabu nimetumia wiki tatu kuprove ukweli.

Sasa nilichogundua baada ya kusitisha tafiti zangu kwa kupata majibu mazuri ni kuwa kumbe utafiti wa mahusiano sio uhuni maana kwa jinsi nilivyomuathiri kwa kuonesha fake love, basi ndivyo watu wengi hifanya bila kujua kuwa wanapitia tafiti hizi

Cha msingi nilichogundua ni kuwa huu sio uhuni lakini kwa asilimia kubwa unamadhara makubwa maana kinachonikuta mpaka sasa hivi ni siri yangu sio kwa kusumbuliwa huku na kuulizwa lini ntakuwa na mda tuonane japo sikufanya tendo lakini nilifanikiwa kwa zaidi ya asilimia 70 kujaribu vipengere hivyo vitatu japo kimoja cha affection kilinipa shida kwa vile mtu niliemchagua nimwiite [HASHTAG]#client[/HASHTAG] sikuwa na malengo nae kwa hiyo nilipata shida sana kuondoka bila kufanya tendo kwa vile haikuwa lengo langu, lengo ni kutafiti.

Kwa hiyo ule sio uhuni kiukweli
Lakini kama uwezi kuimili muitikio usifanye jaribio utaingia ktk dhinaa

Napenda niulize kwa wale wenye mawazo na hoja za kupinga je ni kwa namna gani huu utaitwa uhuni ingali umenisaidia kujua vingi kwa kupitia uzoefu? Maana rafiki zangu watumishi nilipowaeleza wakadai mm ni muhuni wengine wakasema kwa nn nilimuacha huyo ningemaliza kabisa ili utafiti upendeze wengine wakatania kwa vile ni tafiti isiyo na malipo ya kupoteza mda ningemaliza kama ndio malipo.
 
Back
Top Bottom