Wakuu,
Najua inaweza kuwa taarifa mbaya hii kwa baadhi ya watu lakini Utafiti huu umetangazwa muda si mrefu.
Nauambatanisha muda si mrefu
Kura yangu ya Diwani na Mbunge ni Chadema, ila Urais nooooooo!!!!
Lowassa hajawai kunishawishi akiwa ccm, amekuja Chadema ndio amenipoteza kabisa.
hii ni wiki ya utafiti ona ho wamekuja na 62 wengine 65 wengine 69 naamini hizi tafiti bado hazisemi kweli
Tafiti hizi si za kupuuza, zinatakiwa kufanyiwa kazi
Tafiti tofauti hizo, yaani zimefanywa na kampuni tatu tofauti ila LAZIMA ushawishike sabau tofauti sio kubwa na zote zimedondokea ktk 60s, wastani ni 65%. Usilete ushabiki.hii ni wiki ya utafiti ona ho wamekuja na 62 wengine 65 wengine 69 naamini hizi tafiti bado hazisemi kweli
Angalia ujinga unavyoangamiza taifahii ni wiki ya utafiti ona ho wamekuja na 62 wengine 65 wengine 69 naamini hizi tafiti bado hazisemi kweli