Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,577
6,582
Wakuu,

Najua inaweza kuwa taarifa mbaya hii kwa baadhi ya watu lakini Utafiti huu umetangazwa muda si mrefu.

*Kumradhi, mwanzo niliweka draft version, nimeweka final version


attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • Taafifa kwa Vyombo Vya Habari (Kiswahili)- Ipsos Tanzania Sept 2015.pdf
    51.8 KB · Views: 439
  • TZ ELECTION POLL REPORT English Version.pdf
    277.6 KB · Views: 360
  • TZ ELECTION POLL Report Swahili vs.pdf
    279.5 KB · Views: 382
  • Screen Shot 2015-09-24 at 22.53.39 copy.png
    Screen Shot 2015-09-24 at 22.53.39 copy.png
    16.3 KB · Views: 11,338
  • Screen Shot 2015-09-24 at 22.53.14 copy.png
    Screen Shot 2015-09-24 at 22.53.14 copy.png
    21.8 KB · Views: 11,368
hii ni wiki ya utafiti ona ho wamekuja na 62 wengine 65 wengine 69 naamini hizi tafiti bado hazisemi kweli
 
Wakuu,

Najua inaweza kuwa taarifa mbaya hii kwa baadhi ya watu lakini Utafiti huu umetangazwa muda si mrefu.

Nauambatanisha muda si mrefu

Synovate ndiyo kadudu gani tena? Hivi na Tandale saccos wanatangaza tathmini yao lini?
 
Ninachoona sasa kila mtu atoe matokeo yake tu maana naona ushenzi unazidi. Huu unaoitwa utafiti, uwe wa twaweza uwe wa synovate na wengineo ni ushenzi mtupu.
 
Matokeo yote ya hizi tafiti yanaonyesha Lowassa anapendwa sana na Watanzania.

Kama ameweza kupata asilimia zote hizo bila
-Kampeni zozote za kinafiki.
-Kupendelewa na vyombo vya habari
-Akiwa amekashifiwa na kutukanwa sana kuliko mgombea yoyote.
-Bila kujibu shutuma na matusi huku akiwaachia wananchi wawe mahakimu wa yote.

Hakika huyu mtu anapendwa..bila shaka ndiye atakayeapishwa kuwa raisi wa tano.
 
hii ni wiki ya utafiti ona ho wamekuja na 62 wengine 65 wengine 69 naamini hizi tafiti bado hazisemi kweli
Tafiti tofauti hizo, yaani zimefanywa na kampuni tatu tofauti ila LAZIMA ushawishike sabau tofauti sio kubwa na zote zimedondokea ktk 60s, wastani ni 65%. Usilete ushabiki.
HaziweZi leta figure moja, yaani tafiyi tatu na kampuni tofauti Zilete alama moja, haiwezekani.
 
Wana Ukawa msikate tamaa utafiti wakweli watausoma tarehe 25 kenya kura za maoni aliongoza odinga lakini mnajua kilichotokea hata nigeria hivyo hivyo mara nyingi hawa watafiti wanatumika na watawala cha msingi siku ya kupiga kura tukapige ili tuwadhihilishie kuwa tafiti zao zilikuwa za uwongo
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom