- Thread starter
- #21
Pokea kwa mikoni miwili Utafiti wa Rai mkuu.
Mkuu wangu baada ya propaganda ya wazee wa mila wa kishiri kufa haraka kuliko ilivyotarajiwa mtaibuka tena na propaganda ya udini kama Igunga na Uzini?
Pokea kwa mikoni miwili Utafiti wa Rai mkuu.
hilo gazeti la rai ndio linamiliki shahada za kupigia kura na ndo litapiga kura siku hiyo?
Naamini si rahisi sana kura kuchakachuliwa safari hii, haya matokeo hayapelekwi NEC-Dar yanatangazwa palepale, wanachoweza CCM kukifanya ni kununua kadi basi, na kadi za kununua zinasaidia palipo na uncertainty margin kama Igunga, inasaidia palipo na difference ndogo, kwa vile sidhani kama unaweza kununua zaidi ya kadi 5,000. Tumeona mbinu hii haikufanikiwa Ubungo, haikufanikiwa Arusha mjini kwa vile difference ilikuwa kubwa nafikiri haitafanikiwa AM pia.Mkuu huoni pia kwamba ni maandalizi ya kuchakachua kura?
Naamini si rahisi sana kura kuchakachuliwa safari hii, haya matokeo hayapelekwi NEC-Dar yanatangazwa palepale, wanachoweza CCM kukifanya ni kununua kadi basi, na kadi za kununua zinasaidia palipo na uncertainty margin kama Igunga, inasaidia palipo na difference ndogo, kwa vile sidhani kama unaweza kununua zaidi ya kadi 5,000. Tumeona mbinu hii haikufanikiwa Ubungo, haikufanikiwa Arusha mjini kwa vile difference ilikuwa kubwa nafikiri haitafanikiwa AM pia.
hilo gazeti la rai ndio linamiliki shahada za kupigia kura na ndo litapiga kura siku hiyo?
Sawa ni utafiti kwa vile hata mimi naweza kusema nina utafiti wangu, lakini lazima nionyeshe kweli nimefanya utafiti.Jamani Rai ni gazeti huru lina haki kufanya tafiti zake na kuandika wanachokiamini kama wanavyofanya Tanzania Daima.
Nakumbuka hata kwenye uchaguzi wa Igunga RAI walifanya tafiti zao wakasema CCM itashinda na kweli wakashinda.
Muanzisha huu uzi unatakiwa uwe mvumilivu sio upende kuona Chadema inasifiwa na kila mtu.
Humu JF kumekuwepo na tafiti za Chadema kushinda Kigamboni, Chadema kushinda Arumeru, Wameru wanamtaka Nassari kuwa mbunge wao.
Sababu za kuifanya CCM kuanguka Arumeru, kwenye tafiti zote hizo ulikuwa mstari wa mbele kuchangia na kukubaliana na tafiti hizo.
Leo Gazeti la Rai wanatoa utafiti wao unalia lia.
Una data au unasema tu.Wapenzi wa CDM ni wengi, lakini wenye shahada za kupigia kura siyo wengi kama CCM.
Easter bulayaVipi mkuu wangu tujiandae tena na propaganda ya Udini kama ilivyokuwa Igunga na Uzini?
Pokea kwa mikono miwili Utafiti wa Rai, mkuu.
Wewe kichwa maji kweli ni usaliti gani cdm walioufanya kwa wananchi kama sio uzandiki unaleta hapa? Wananchi wamefuatilia kwa makini na wanajua kazi kubwa iliyofanywa na cdm mpaka kufikia hatua hii ya sasaCCM na CHADEMA ni sawa na Yanga na PAN. hata siku moja PAN hamcheki Yanga kufungwa na SIMBA! wewe angalia tuu suala la katiba jinsi CDMA walivyoisaliti nchi na umma wa kitanzania. na mpaka leo hakieleweki kitendawili cha katiba. hivyo wao wataamu tuu nani achukue huku aruumeru mashariki.