Utafiti wa blog ya Vijimambo, Lowassa angoza

Utafiti wa blog ya Vijimambo, Lowassa angoza

Incredible

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,031
Reaction score
1,603
Kwenye blog ya Vijimambo ambayo siku zote huwa ni vipenzi wa CCM, waliweka kura ya maoni kuhusu nani awe rais wa awamu ya tano mwaka 2015. Kura hii imekuwepo tarehe 26/9/2015mpaka 27/9/2015. Matokeo hawakupenda na leo wameiweka kwenye old posts. Matokeo yako hivi:
Lowassa Ukawa kura 1,145 SAWA NA 65.43%

MAGUFULI (CCM)- KURA 575 SAWA NA 32.86%

ANNA MGWIRA (ACT) KURA 6 SAWA NA 0.34%

HASHIMU RUNGWE (CHAMMA) KURA 3 SAWA NA 0.17%

CHIEF YEMBA (ADC) KURA 6 SAWA NA 0.34%

BADO SIJAAUMUA KURA 15 SAWA NA 0.86%

Nawasilisha
 
Kuna wasiojua kusoma na kuandika ambao ndy tegemeo kuu la ccm hawakuhusika kwenye utafiti
 
Kuna wasiojua kusoma na kuandika ambao ndy tegemeo kuu la ccm hawakuhusika kwenye upigaji kura
 
Fanya research mtaani kwako,kijuweni,kwenye bus,kwa rafiki zako kumi tu ,kwenye family yako LOWASA ndio rais
 
Unajua hata bubu na viziwi wanajua next rais ni lowasa
 
...ukweli Lowassa anaongoza ila mchezo wa goli la mkono ndo utakaotuangusha hata kama lowassa atapata kura nyingi tume ikiruhusu kutumika taifa litakosa haki kwa tamaa za wachache...
 
kwenye blog ya vijimambo ambayo siku zote huwa ni vipenzi wa ccm, waliweka kura ya maoni kuhusu nani awe rais wa awamu ya tano mwaka 2015. Kura hii imekuwepo tarehe 26/9/2015mpaka 27/9/2015. Matokeo hawakupenda na leo wameiweka kwenye old posts. Matokeo yako hivi:
Lowassa ukawa kura 1,145 sawa na 65.43%

magufuli (ccm)- kura 575 sawa na 32.86%

anna mgwira (act) kura 6 sawa na 0.34%

hashimu rungwe (chamma) kura 3 sawa na 0.17%

chief yemba (adc) kura 6 sawa na 0.34%

bado sijaaumua kura 15 sawa na 0.86%

nawakilisha


nawasilisha
 
C.C.M CHOO
by dr.slaa
Kwa maana ya Dr. Slaa ccm kama choo ni rest room ktk European standards, tafuta picha za vyoo ktk mchina wako uone kuwa ni bora kuliko hapo ulipojisitiri usiku huu!

Ila alishangazwa na kuona vinavyotoka rest room vimehamia dinning!

Chadema ni dinning yenye kinyesi! Dr. Slaa 215
 
Fanya research mtaani kwako,kijuweni,kwenye bus,kwa rafiki zako kumi tu ,kwenye family yako LOWASA ndio rais


Umejuaje? Wewe ni mtabiri? Lakini ulichokisema ndio ukweli wenyewe , kuna mama mmoja tulikuwa naye kwenye daladala, kapokea simu, kisha kaanza kuuponda UKAWA kwa kumsimamisha Mh. Lowassa ktk urais, kilichompata ni siri yake, maana abiria wote walimshushua kana kwamba yeye ni kibaraka tu na aache kutumiwa maana kuitetea chichiem iliyo na miaka zaidi ya hamsini madarakani kuwa haitakuwa na jipya ktk suala zima la kuinua uchumi wa nchi
 
Back
Top Bottom