Utafiti unaonesha kuwa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unaotarajiwa kufanyika Mbowe anaweza kushinda kwa Kishindo

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,277
Reaction score
13,703
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambaye ni kipenzi cha wanachama anatarajia kujitosa katika mbio za kuania uwenyekiti wa CHADEMA.

Uchaguzi huo unaitishwa baada ya Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu Kusota korokoroni kwa muda mrefu hivyo kuathiri shughuli za chama kwa muda mrefu.

Duru zinaonesha Freman Mbowe ana uungwaji mkono mkubwa kwa viongozi wa kikanda pamoja na wanachama kwa ujumla kwa sababu ya kariba yake ya uvumilivu wa kisiasa na wanachama wanaamini mwaka 2030 katika mazingira yoyote Mbowe anaweza kuifufua ChADEMA ambayo kwa sasa inaelekea kufa.

Tayari uhamasishaji wa wanachama umeanza hivyo kikao cha Kamati kuu kinatarajia kukaa muda wowote kuanzia sasa kujadili ajenda ya uchaguzi. John Heche hatajwi sana kwa sababu ya hulka yake ya Uhuni na Kukurupuka kila anavyoliendea jambo lolote.
 
Tukitaka kupata vituko vingine kama huu uzi wako tubonyeze namba ngapi?
 
Lisu amefungwa ila anawakosesha usingizi. Je angekuwa huru?
 
DAWA NI KUING'OA CCM MADARAKANI HAIWEZEKANI WATUWEKEE MTU WAO NDO AWE MWENYEKITI WA UPINZANI
 
Naskia mmeandaa maandamano ya amani ya kumdai Mbowe arudi kwenye kiti
 
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambaye ni kipenzi cha wanachama anatarajia kujitosa katika mbio za kuania uwenyekiti wa CHADEMA.

Uchaguzi huo unaitishwa baada ya Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu Kusota korokoroni kwa muda mrefu hivyo kuathiri shughuli za chama kwa muda mrefu.

Duru zinaonesha Freman Mbowe ana uungwaji mkono mkubwa kwa viongozi wa kikanda pamoja na wanachama kwa ujumla kwa sababu ya kariba yake ya uvumilivu wa kisiasa na wanachama wanaamini mwaka 2030 katika mazingira yoyote Mbowe anaweza kuifufua ChADEMA ambayo kwa sasa inaelekea kufa.

Tayari uhamasishaji wa wanachama umeanza hivyo kikao cha Kamati kuu kinatarajia kukaa muda wowote kuanzia sasa kujadili ajenda ya uchaguzi. John Heche hatajwi sana kwa sababu ya hulka yake ya Uhuni na Kukurupuka kila anavyoliendea jambo lolote.

Ina mana hata ndugu zako hawajatambua tu kuwa wewe ni mgonjwa wa akili ili wakusaidie haraka? Yaani hujui hata kwa nini kwenye nafasi mbalimbali huwa kunakuwepo na nafasi ya makamu?

Huyu shetani wenu hata amshikilie Lisu kwa mwaka mzima, Lisu bado mwenyekiti, na makamu wake ataongoza chama. Makamu anakuwepo kwa sababu ya mazingira kama haya.

Mleta mada, dish limeyumba, na ndugu zake hawataki kumsaidia!! Au wamemkatia tamaa?
 
Kumbe hata mabumunda yamewekewa katiki ka blue. Nilijua wenye akili tu kama Akina Mshana jr na wenzao.
 
Kwani Mbowe anarudishwa kuwa mwenyekiti ili afanye maridhiano ya nini ?
Maana maandamano yalikua ya watu tofauti tofauti 😂
Maridhiano ni Serikali Vs Raia.
 
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambaye ni kipenzi cha wanachama anatarajia kujitosa katika mbio za kuania uwenyekiti wa CHADEMA.

Uchaguzi huo unaitishwa baada ya Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu Kusota korokoroni kwa muda mrefu hivyo kuathiri shughuli za chama kwa muda mrefu.

Duru zinaonesha Freman Mbowe ana uungwaji mkono mkubwa kwa viongozi wa kikanda pamoja na wanachama kwa ujumla kwa sababu ya kariba yake ya uvumilivu wa kisiasa na wanachama wanaamini mwaka 2030 katika mazingira yoyote Mbowe anaweza kuifufua ChADEMA ambayo kwa sasa inaelekea kufa.

Tayari uhamasishaji wa wanachama umeanza hivyo kikao cha Kamati kuu kinatarajia kukaa muda wowote kuanzia sasa kujadili ajenda ya uchaguzi. John Heche hatajwi sana kwa sababu ya hulka yake ya Uhuni na Kukurupuka kila anavyoliendea jambo lolote.
Huna akili
 
Back
Top Bottom