Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuuu cha harvad waonesha wanawake wa nene wanajua kupenda

stella1975

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
873
1,000
Katika taaraifa Ya natokeo Ya Chuo kikuu cha havard yaliyotolewa Leo Ya utafiti yameinesha kuwa wanawake wanene wanajua kupenda na wana Upendo wa dhati kuliko wanawake wembamba utafiti huo umebainisha kuwa wanaume wanaokuwa na wapenzi wanene wanafuraha zaidi kuliko wanaume wanaokuwa na wanawake wembamba, utafiti huo umebainisha kuwa wanawake wembamba hawana mapenzi Ya dhati Kama walivyo wanawake wanene

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukwuemeka Takpo

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
13,579
2,000
Mambo mengine ni tabia ya mtu,wadada mabonge wengi kwasasa Tz unene wamefanya ni business na ndiyo maana wembamba nao wanataka kujiumua.

True love haiwezi sababishwa na body morphology
 
Dunyua

Senior Member
Mar 10, 2018
167
250
Katika taaraifa Ya natokeo Ya Chuo kikuu cha havard yaliyotolewa Leo Ya utafiti yameinesha kuwa wanawake wanene wanajua kupenda na wana Upendo wa dhati kuliko wanawake wembamba utafiti huo umebainisha kuwa wanaume wanaokuwa na wapenzi wanene wanafuraha zaidi kuliko wanaume wanaokuwa na wanawake wembamba, utafiti huo umebainisha kuwa wanawake wembamba hawana mapenzi Ya dhati Kama walivyo wanawake wanene

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka link ili uzi uwe na mshiko Zaidi....tunaupata wapi huo utafiti???
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom