Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Wanaume wa Tanzania tuko lege lege mno, hata "kukata mti na kuuangusha" ni shida.
Kila mmoja akiona "mbwa pori" anakimbilia ndani hata barabara anaiogopa.
Wanaume wa shoka wapo Tunisia, Libya, Misri, Kenya, Gambia nk. wale jamaa wakiamua kufanya kazi wanalima hata hekari 40 kwa siku,
Kwa hali hii, najiona mwanaume niko peke yangu, nahamia Gambia ila hadi nithibitishe zaidi uanaume wao kama wanaweza.
Chanzo cha utafiti; mlevi wa konyagi Tocha Bar.