mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,415
- 7,026
Habari!
Maumbile ya mtu si jambo la kukosoa kwani hakuna anayejiumba yeye. Miongoni mwa tafiti zangu zilizofanikiwa kwa 99%, ambazo si rasmi, ni hili suala la vitovu, hasa kwa wanawake.
Kwa kweli wanawake wengi wenye vitovu vikubwa wana aibu mno ya kuvua nguo wakati wa tendo. Vice versa is true!
Prior to this, the same applies to men.
Wanawake wenye vitovu vikubwa kwa nini mna aibu? What makes you ashamed?