Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
@Daby analijua hilo?Ndoa bora na yenye furaha ni yenye upendo,heshima
@Daby analijua hilo?
Maendeleo hayana chama
Ukiona hivi ujue wote ni warefu, au wote ni mitungi ya gesi.Ndoa bora na yenye furaha ni yenye upendo,heshima
๐๐๐๐mbavu zanguHuwa nachukua stool napanda kumfunga tai tunacheka sana nkimaliza ananishusha.
๐๐๐๐mbavu zanguHuwa nachukua stool napanda kumfunga tai tunacheka sana nkimaliza ananishusha.
Ukiona hivi ujue wote ni warefu, au wote ni mitungi ya gesi.
Bora umesema maana it doesnt make sense eti mfupi kwa mrefu hata padipo upendo na hekima basi inakua ndoa bora, ndoa inahusisha mambo mengi ila kikubwa ni upendo uvumilivu na hekimaNdoa bora na yenye furaha ni yenye upendo,heshima
Bora umesema maana it doesnt make sense eti mfupi kwa mrefu hata padipo upendo na hekima basi inakua ndoa bora, ndoa inahusisha mambo mengi ila kikubwa ni upendo uvumilivu na hekima
Sent using Jamii Forums mobile app