Utafiti: Ndoa kati ya mwanaume mrefu na mwanamke mfupi ndio hua ndoa bora zaidi.

Vyovyote tu.

Kama maua mbalimbali yaonekanavyo bustanini, ndivyo maumbile ya wana ndoa yanavyoweza kuonekana kufaa au kutofaa kwa kutegemea macho ya mtazamaji au mmiliki wa bustani husika.
 
Katika kupitia pitia masuala ya ndoa mitandaoni nikakutana na hii kwamba ndoa kati ya mwanaume mrefu na mwanamke mfupi hua ndio ndoa zenye furaha zaidi na kua bora.

Binafsi sijui kama ni kweli au ni uongo lakini mnaweza kusoma wenyewe.

Mimi nina kidem changu kingoni kifupi ila kizuri balaa, hua napata wakati mgumu sana kwenda mbele kukihusu maana ni kifupi na mimi nasimama 190cm. Chenyewe kama 150something to 160something. Natamani kingekua 170+ ningekua nishakiweka ndani.

Wenye ndoa au mahusiano na wanawake wafupi, hii ni kweli?
https://www.maxim.com/maxim-man/tall-men-and-short-women-make-happier-couples-2018-1
Maisha hayana fomular kila mtu hupitia nyakati zote raha na shida huzuni na furaha nk hivyo kimo kisikuaminishe kua utapata raha tu(Niwazo2)
 
Watu wafupi hua hawajiamini na huisi watu warefu wanawadharau ila wanaupendo wakweli na ni watata anaanzisha timbwili mda wowote ukiingia kwenye 18 zake mdomo wanao kama chiriku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That it. Umemaliza dear.
Kusema kweli mm ni a tall guy.. nimepanda juu kweli halaf nimejaliwa mwili.
Ila nimekutama na short girls wengi ni chenga.. mambo mengi.
Cha muhim ni chemistry kati yenu.mkiendana huso urefu na ufupi sio ishu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, mzee naona unataka kupinga the obvious. Watu wafupi au wale wembamba sanaaa ni shidaa. Tena hili ni suala la kisaikolojia zaidi
 
Back
Top Bottom