"Utafiti kuhusu imani zetu"

MARO BM

Senior Member
Dec 31, 2011
135
7
[h=5]Wakuu habari za usiku,kwa wale ambao tumeajiriwa poleni na majukumu ya kila siku na wale ambao bado tunatafuta kazi tusikate tamaa MUNGU yupo na ipo siku atakusaidia utapata tu,Baada ya salam hizo sasa naomba tupitie kwa umakini huu utafiti then tutoe maoni yetu:
[/h] [h=5]Kunawatafiti wamefanya utafiti na kubaini kuwa 98% ya watanzani wanasali katika madhebu yao kwa mazoea au kwa kufuata wazazi wao mfano baba yake ni mkristo kutoka labda Aglikana na e anamfuata baba yake bila kuchunguza kule kuna nini katika imani hiyo.



Kwa mujibu wa utafiti huo ni 1/3% pekee ndio wanaosali dini walizojifunza na kuamini wenyewe bila kuwashirikisha wazazi na kuongeza kuwa 0.97% hawana kabisa dini (wapagani)



Watafiti walitetea utafiti wao kwa kuongea na watu ndani ya familia ambao walithibitisha kutokujua vyema dini zao au zingine na wengine kusema kuwa huzuiwa hata kuzungumzia dini nyingine,



Kati ya vitu zilivyosaidia tafiti hii ni ukweli kuwa ukitembelea nyumba (koo) nyingi hapa Tanzania wengi utakuta wanasali katika dini moja kama utafiti ilivyoonyesha, nahii ilisaidia watafiti kupata habari kwa urahisi



Utafiti huo pia ulionyesha familia nyingi zikilazimisha watoto wao na wanafamilia kwa ujumla kuolewa au kuoa mtu ambae ni dini mmoja na wahusika bila kujali UPENDO kati yao



Je wewe kama mtanzania unakubaliana na utafiti huo?



Je kuna sababu kufuata dini ya wazazi wako?




Je kuna faida na hasara gani kutofuata dini ya mzazi wako?



[/h][h=5]Mwisho uko upande gani 98% au 2%?[/h]
Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom