Utafiti: iPhone ni za wanawake masikini, Huawei ni kwa wanaume wenye nazo!

Ubora pia unachangia kama we masikini alafu ununue huawei ndo utazidi kua masikin mana umalizi mwaka imekufa mara ime stack mara imegoma kudisplay mara inachemka mara betri inaisha kama cjui nn mara utafute power bank bora upate cm bora miaka mitano unapatapa mda wa kutumia pesa yako kwenye maendeleo mana huawei kila mwezi toleo jipya utajenga kwel fatilia anaemiliki huawei mjini hapa au techno baa analilia offer ahahahahahaha jokes
 
Nina tekno W4 ,mwaka wa tatu sasa haijafa...
 
Hili nalo, ni wazo fikilishi, Kumbe ukiwa unamiliki iphone, hutakiwi kuomba msaada, kwa wanaotumia Simu ya Kiwango cha chini.

Bora niendelee, kuitumia Infinix yangu tu, ili nikiwa na shida nikimwambia mtu, nisisemwe.

Halafu nimegundua, jirani yangu anamiliki gari alafu mimi sina, kumbe hastahili kuniomba omba msaada mimi.
 
Back
Top Bottom