Utafiti huu kiboko!!!

Utafiti huu kiboko!!!

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12,767
Reaction score
10,536
JAMANI MJUMBE HAUAWI..HII NI HABARI YA KITAMBO KIDOGO NIMEIPATA KATIKA MTANDAO HAPA BONGO

WANAWAKE WENGI WANAVAA CHUPI ZILIZOTOBOKA
“85% hawavai kabisa chupi za rangi nyeupe” Sasa hawavai gagulo


· Wanafunzi wa vyuo Watoa Sababu Za Kuongezeka Kwa Tatizo.
UTAFITI mpya umebaini kuwa nusu ya wanawake nchini Tanzania uvaa chupi zilizotoboka ama kuchanika. Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Bongo-Live kwa wanafunzi wa Vyuo mbalimbali nchini Tanzania. Kati ya wasichana 10 ni wawili tu uvaa chupi nyeupe, ni 85% ya wanawake hawavai kabisa chupi ya rangi nyeupe.
Sababu za kutovaa chupi nyeupe
Bongo Live® imebaini sababu za kutovaa chupi nyeupe kwa mwanawake hao kuwa ni kutokuwa wasafi na kushindwa kuzitunza kwa rangi yake. Wanafunzi hao inasemekana kuwa wanaelemewa na masomo kiasi cha kushindwa kupata muda wa kufua hata waendapo kuoga
Sababu za kutoboka kwa chupi
Bongo-Live, Imebaini kuwa wanawake wengi wanachupi nyingi na pamoja na wingi wa chupi walizonazo bado uvaa zilizotoboka ama zilizochanika. Hii inatokana na hali halisi ya kuvua pindi waendapo haja ndogo, chupi uzivua mpaka usawa wa mapaja kwa kitendo cha kuchuchumaa uvuta chupi na kufanya nyuzi kulegea ama kutatuka kwa chupi. Pia imeelezwa kwamba, uvaaji, ufuaji na kuanikwa kwa vazi hilo chini ya godoro mara kwa mara usababisha tatizo hilo.
Sababu nyingine ni joto kuzidi katika sehemu za siri za mwanamke, unene kupita kiasi na mazingira yanayowazunguka.

SOURCE:Bongo Live
 
Mbona utafiti haujasema wasiovaa kabisa ni asilimia ngapi na kwanini...
 
hivi kuna wale ambao hawavai kabisaaa.....hao .ni asilimIan ngapi....?
 
Kuna siku nilikutana na mdada mmoja kwenye daladala linalotoka Posta kwenda Mwenge na hakuwa amevaa kufuli,huyu mdada alikaa siti ya nyuma ya dereva huku mimi nikiwa mbele kabisa pembeni mwa dereva na alikuwa amevaa sketi fupi kiasi cha kuonesha maungo yake ya ndani,yaani pachupachu ilikuwa inaonekana wazi,hamad ile kugeuka macho yakakutana na ile kitu watu huhonga magari na hata kuacha familia zao kuipata ila Mungu alisaidia sikupitisha sekunde nyingi kuangalia.
Inawezekana kabisa wadada wengi hawavai kufuli siku hizi.
 
Dar jotooooooo!!![/QUOTE]

aisee kweli
4296_121-628x400.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom