Utafiti: CHADEMA ndicho chama kinachotajwa sana

Utafiti: CHADEMA ndicho chama kinachotajwa sana

nje ya ukwa hakuna chadema.

Utafiti unaonyesha kuwa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) ndicho chama kinachotajwa sana katika mitandao ya kijamii, Vyombo vya habari, na wananchi mbali mbali, si na wana-Chadema pekee bali hata Wana-CCM.


Utafiti pia unaonyesha kuwa kati ya watu kumi, 7 ni wana-Chadema, 3 ni wana CCM.


Utafiti vile vile umebaini kuwa kati ya wanawake 10, 6 ni wana-CCM na 4 ni wana-chadema.

Imebainika kuwa wananchi wa vijijini waliohojiwa 10 wamesema wanaijua chadema.

Kati ya wananchi 10 waliohojiwa 7 wamesema hawaridhishwi na Chama cha Mapinduzi.

Kati ya 10 waliohoiiwa 8 wamesema wanataka mabadiliko.

Aidha:--kati ya wananchi 10 waliohojiwa wa mijini wote wamesema wanajua -Ukawa nini, ila kwa vijijini 5 kati ya kumi wamesema hawajui maana ya ukawa na 5 wengine wamesema wanaisikia sikia tu.

Note: Utafiti huu utatangazwa rasmi na Taasisi husika.
 
Hata Masogange anatajwatajwa sana na wala hakuna cha maana anachofanya zaidi ya kujipiga picha "mkia wake" na kutupia mtandaoni.....and nilitaka kusahau..pia ni "Punda"
 
Hapa kazi ni kuchimbua mizizi yote ya mti wa ccm iishe huko chini ili ukaangushwe na upepo tu pasipo kuhitaji tena kuhire manpower ya kuusukuma ili uanguke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom