Utafiti: CCM chini ya Kinana imeimarika mara dufu

Utafiti: CCM chini ya Kinana imeimarika mara dufu

CCM kwa sasa ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania. Ni chama chenye dira na mwelekeo bora wa maendeleo.

Katibu mkuu wa chama hicho kanali Abdulrahman Kinana amekirudisha chama hicho katika chati na hivi sasa hakina tena mpinzani.

Wananchi waliohojiwa Dsm, Pwani,Morogoro,Iringa,Dodoma,Mwanza,Arusha,Ruvuma na Mbeya wametoa majibu yafuatayo.

1. Heri tuendelee kuongozwa na CCM tunayoijua waliosema hivyo ni 75%
2.Tuna imani na CCM 80%
3.CCM itashinda uchaguzi 2015 81%
4.CCM inapendwa nchini kuliko vyama vingine 79%
5.Upinzani bado ni mchanga kukabidhiwa dola 70%
6.Hatuna imani na upinzani 73%
7.Kinana na sekretariate yake wanaongoza chama vizuri 74%
8.Kinana aendelee kuwa katibu mkuu 89%

Sina sababu ya kupingana na wewe ila nilitaka kufahamu:
  1. Je chini ya uongozi wa Kinana CCM imechukua majimbo mangapi kutoka upinzani na kuyarudisha CCM?
  2. Je imeongeza kata ngapi za uchaguzi kutoka upinzani na kuzirudisha CCM?
 
CCM kwa sasa ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania. Ni chama chenye dira na mwelekeo bora wa maendeleo.

Katibu mkuu wa chama hicho kanali Abdulrahman Kinana amekirudisha chama hicho katika chati na hivi sasa hakina tena mpinzani.

Wananchi waliohojiwa Dsm, Pwani,Morogoro,Iringa,Dodoma,Mwanza,Arusha,Ruvuma na Mbeya wametoa majibu yafuatayo.

1. Heri tuendelee kuongozwa na CCM tunayoijua waliosema hivyo ni 75%
2.Tuna imani na CCM 80%
3.CCM itashinda uchaguzi 2015 81%
4.CCM inapendwa nchini kuliko vyama vingine 79%
5.Upinzani bado ni mchanga kukabidhiwa dola 70%
6.Hatuna imani na upinzani 73%
7.Kinana na sekretariate yake wanaongoza chama vizuri 74%
8.Kinana aendelee kuwa katibu mkuu 89%

Kweli ccm chini ya Mr Dentist imeimarika kwa kuweza kupukutisha tembo wetu kwa kasi ya ajabu kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya Tanganyika then Tanzania.
 
Tuondolee huu upumbavu hapa. Kauli ya mmoja wa wazee ambao bado wanaheshimiwa sana nchini kuliko hata Kikwete DHAIFU, Kinana na P. Pinda, kauli hiyo ya Mzee Butiku ni hii "Kinachofanywa na CCM sasa hivi ndani ya BMK ni utoto." Halafu kuna mataahira huu ujinga na utoto hawauoni!!! Madudu chungu nzima bado yanaendelea kila kona nchini, hakuna ahueni ya maisha kwa Watanzania walio wengi. Huduma muhimu nchini kote bado ni mgogoro mkubwa. Kawada ganyeni Wapumbavu kuhusu hizi pumba zenu. Watanzania wengi bado tunaamini kwamba adui nambari one wa maendeleo ya Tanzania na Watanzania ni MACCM na hizo picha hapo juu ni uthibitisho wa kutosha kabisa.
 
Back
Top Bottom