utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
- Thread starter
- #21
CCM genge la wanyanganyi.
unasema hayo matusi huku unaona haya
CCM genge la wanyanganyi.
CCM kwa sasa ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania. Ni chama chenye dira na mwelekeo bora wa maendeleo.
Katibu mkuu wa chama hicho kanali Abdulrahman Kinana amekirudisha chama hicho katika chati na hivi sasa hakina tena mpinzani.
Wananchi waliohojiwa Dsm, Pwani,Morogoro,Iringa,Dodoma,Mwanza,Arusha,Ruvuma na Mbeya wametoa majibu yafuatayo.
1. Heri tuendelee kuongozwa na CCM tunayoijua waliosema hivyo ni 75%
2.Tuna imani na CCM 80%
3.CCM itashinda uchaguzi 2015 81%
4.CCM inapendwa nchini kuliko vyama vingine 79%
5.Upinzani bado ni mchanga kukabidhiwa dola 70%
6.Hatuna imani na upinzani 73%
7.Kinana na sekretariate yake wanaongoza chama vizuri 74%
8.Kinana aendelee kuwa katibu mkuu 89%
unashauriwa kutumia kichwa kufikiri badala ya kufugia nywele
Inategemea sample, aina ya mtafiti mwenyewe na malengo ya mwajiri wake; maana "he who pays the piper calls the tune"
Mtu gani mwenye akili timamu anayeweza kuamini matokeo yoyote ya utafiti wa jini fulani linaitwa REDET! au kumsikiliza mtu anaitwa Dr. Bana!! lazima ujitoe akili kwanza.
unasema hayo matusi huku unaona haya
ccm mtabaki kuwa mataahira siku zote, mambo yamekuwa magumu sasa hv mmeamua kujifariji wenyewe
CCM - Oyee!!!! Kidumu chama cha Mapinduziii......
![]()
![]()
![]()
![]()
ccm mtabaki kuwa mataahira siku zote, mambo yamekuwa magumu sasa hv mmeamua kujifariji wenyewe
Mkuu achana na haya mazuzu yanajitekenya na kujicheka yenyewe tena yanaenda mbali kwa kujitia na vidole kabisa! kama hiyo reseach imefanyika kwa wanaCCM wenyewe unategemea matokeo gani? Arusha ipi maana kama ni Monduli hamna CCM kuna LOWASA tu!inategemea walikuwa wanauliza kundi la aina gani, kama mataaira unategemea majibu gani...kama si hivyo walikuwa wana kereka na maswali ya kipuuzi waka wanajibu ili kutoa kiwingu.. au labda hao jamaa ni majuha kiasi hawajui habari za EPA, ESCROW, RICHMOND, UNGA, WIZI WA TWIGA, MATOKEA DUNI YA KIELIMU, KURA ZA MARA YA MWISHO ZA USHINDI WA CCM. MELI YZ KUBEBEA NDOVU na uchafu mwingine mwingi tu....
mapovu ya nini kaka? timizeni ahadi zenu za kuwapatia watanzania Maisha bora kama mlivyojinadi 2010 kwamba "Maisha bora kwa kila mtanzania".Haisaidii hata ukiweka picha za misukule wa CHADEMA, si ndiyo maisha waliochagua kwani walitumwa na CCM.?
wewe utaifakwanza, kama mwanao angekuwa mmoja kati ya watoto hawa - je ungetamba na kuitetea CCM hadi mapovu yanakutoka?unasema hayo matusi huku unaona haya
Tembo wote walioko kwenye hifadhi wameisha kwa sababu ya huyu msomali shit!!!!!
Ccm ni wendawazimu...