nitawapoteza kivipi mkuu,, mtu kama unajilinda wasiwasi wa nini... kuna mtu anaratiba kila baada ya miezi mitatu anaenda kupima sasa huyu anataka nini?
cha muhimu ni kujilinda tu, kupima mara moja kwa mwaka au baada ya miaka miwili inatosha sana.
Ntachukulia kawaida coz ni kitu cha kawaida sana but ntabadilisha mtindo wa maisha na kuishi vyema zaid hasa kwa kuzingatia lishe bora.(kama ikitokea nkapima coz sina mpango wa kupima kabisaaaa)