Siku Zote Huwezi Kutoa Jibu Kabla Ya Swali. Hivyo Me Binafsi Hadi Yanikute Ndipo Nitajua Chakufanya. Maana Siku Zote Maamuzi Ya Jambo Lolote Yanategemeana Na Ulivyo Lipokea Jambo Lenyewe.
Sijapima miaka mitano. Ngoja nikapime kesho
Sijapima miaka mitano. Ngoja nikapime kesho
Jipange Wangu
Mwee mwee mweee mweee nakushauri uthiende....
ha ha haa unaenda kutibua maradhi yaliyolala.
Ha haa nimemmiss kutobolewa