kama mimi hamna hata kugawana,je ningempa chai angefaidi?
loh!yaani anatajirika na soda uliyomnunulia?si rahisi kihivo
loh!yaani anatajirika na soda uliyomnunulia?si rahisi kihivo
Mfano we unaishi maisha ya kawaida na magumu kiasi,mgeni akakutembelea,ukaenda kumnunulia soda,mara alipofungua ganda la kizibo cha soda akawa amejishindia million 100,akaanza kushangilia na kupiga kelele,nimeshindaaaaaa!
Je we utachukua uamuzi gani?

Mie nitamshauri tugawane. 
Mgeni ukimpa juice kwenye gilasi kwani anachukua na gilasi yake ? 
Sianakunywa juice tu, na gilasi anakuachia hapo hapo sitting room.
Asinge shinda angekuachia kizibo na chupa hapo hapo sitting room. 
Agawane na nani? Hapati ata mia, nimetoa mia 8 yangu halafu tugawane mweeh!
labda tuseme ishu imekuwa kubwa mpaka mkaenda mahakamani.
je wewe ungenunua soda asingekuja?
swali inabaki ungeenda kununua soda asingekutembelea?
yaani ndo maana huwa nakupenda sana ila unaogopa kupendwa