thebosskissima
Member
- May 22, 2017
- 65
- 299
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Unaacha shada na Keki ofisini hapo tena kwa Bosi wake halafu unamueleza Ukweli Woote. Then wakaa kimya akirudi mchangamkie hadi aende kazini ndipo unalipiga chini
Kwanini mkuu? Huo ni ulaku.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Madhara ya surprise hayo ila me hayo mapenzi ya kikorea siyawezi maana ningeonja keki yote hata kabla haijafka kwa muhska
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaacha shada na Keki ofisini hapo tena kwa Bosi wake halafu unamueleza Ukweli Woote. Then wakaa kimya akirudi mchangamkie hadi aende kazini ndipo unalipiga chini
Nakula keki mwenyewe.
Kwanini mkuu? Huo ni ulaku.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄Kupoza machungu mkuuNakula keki mwenyewe.
HahahaMadhara ya surprise hayo ila me hayo mapenzi ya kikorea siyawezi maana ningeonja keki yote hata kabla haijafka kwa muhska
Sent using Jamii Forums mobile app
TUSAIDIANE HAPA
Leo ni siku ya birthday ya mke wako. Ameamka asubuhi mapema amevaa amependeza anakuaga anakwenda kazini. Mida ya saa nne unakwenda kazini kwake ukiwa na maua na keki ili um-suprise. Unafika mapokezi pale kazini kwake unamuulizia unaambiwa amepiga simu kuomba ruhusa ya ugonjwa kwa hiyo hayupo kazini.
Unampigia simu anakwambia yupo bize sana na kazi ofisini atakupigia baadae.
Kaka,utafanyaje!?