Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Peter Madukwa

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
3,139
2,485
.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...

YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?:cool::cool::p
 
Nitajiita Adam,

Nitasubiria Ubavu wangu ugawanywe atokee Hawa/Eva.

Nawaahidi, shetani hawezi kutudanganya tena. Hilo linyoka likija tena tutampasua na kumkimbizia mbali.

Hakutakuwa na uovu tena katika uso wa dunia.
 
Nitajiita Adam,

Nitasubiria Ubavu wangu ugawanywe atokee Hawa/Eva.

Nawaahidi, shetani hawezi kutudanganya tena. Hilo linyoka likija tena tutampasua na kumkimbizia mbali.

Hakutakuwa na uovu tena katika uso wa dunia.

hahahahahahhaah we jamaa bhana: mitihani ya SHETANI haiko stagnant
 
.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI LA KIZUSHI wadau, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...

YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?:cool::cool::p
Nitawaomba wanipatie demu mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom