Angalia nzuri ya kuhangaika na hilo.
Ingawa hakuna sababu ya maana mwanaume kufanya hivyo, jaribu kumrudisha mdogo wako nyumbani au la basi muondoke wote mwamba abaki na umalaya wake.
Kuna options nyingi sana hata kama unamnyima unyumba
Na huyo mdogo wake pia kuna vitu kazidiwa na wanawake wengine,
So,tunarudi kule kule kwenye tatizo lile lile,kwani huyo mkewe yeye haoni wanaume waliomzidi mumewe?
Maisha yahapo hivyo wala matatizo ya ndoa hayatatuliwi kwa njia hizo mkuu.