Utafanyaje kama umeongezewa chenchi?

Uungwana ni kurudisha, ila ukweli mi Huwa naaangalia na hali ya duka kama tia maji tia maji narudisha kiroho safi, ila kama duka mambo yente nasepa labda anikute pochi nene Sina shida ndogondogo, la sivyo huwa nasema
Mungu nisamehe
 
DKT samia ana kazi kubwa sana kuongoza watu kama wewe
 
Hali ilivyo ngumu anaanzaje kuzidisha, nasepa nayo kama mifuko imetoboka, kama niko vizuri namrudishia.

Majuzi kuna maza mmoja nilienda kununua maji ya Afya jero, nikampa buku sijui alikuwa kadata akanirudishia elfu5! Nikaona hii mbona atajipa loss nikamkumbusha "nimekupa elfu1 mama" akanipa sawa hata hakushukuru, iliniuma kinoma nikatamani nisingemrudishia.
 
Hadi huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…