ina mana hujui upo na mpenz wako?
kutunza ni pesa.......ila sasa kuna mengine yanazidi
ukiwatna wivu usiende nae. Jifungieni ndani piga mziki mchezeee, mtunzaneee, mkatikianeee
ina mana hujui upo na mpenz wako?
ukiwatna wivu usiende nae. Jifungieni ndani piga mziki mchezeee, mtunzaneee, mkatikianeee
Sio kwamba ww umepungua?kutunza ni pesa.......ila sasa kuna mengine yanazidi
mkuu mbona hujiamini...
nyie ndio mnaorushaga ngumi klabu
Hivi inakwaje unaenda na girlfriend kwenye show ya msanii maarufu...halafu anajipeleke jukwaani kwa kiherehere huku akimkatikia kiuno mpaka majasho huyo msanii kitu ambacho hajakufanyia.au upo na boyfriend wako halafu anaanza kumtunza huyo msanii wa kike mahela na kujipendekeza huku wakiserebuka kitu ambacho hakuwahi kukufanyia wewe?hapo wewe utafanyaje?
dawa ndogo kama anamnengulia msanii na wewe kuwa msanii atakunengulia wewe badala ya mangwea. kama unaona wivu basi usiende naye, nenda peke yako
yaani sijui akiwa mwenyewe inakwajeHata kama jamani, viherehere vingine vimezidi!! Mtu yuko na mpenzi wake lakini ana overkiherehere, je akiwa peke yake? Sasa mtu kama huyu siku akienda peke yake, mwenzie atakuwa na amani kweli?? Well, furahi lakini muangalie na mwenzako, usimkwaze!!