ngoja nikiwa mwanaume nitajibu
sijajua but soon nikiwa mwanaume nitakuja kutoa uwamuzilini una-undergo transgender surgery?
ngoja nikiwa mwanaume nitajibu
maswali mengine sio fair kwa waulizwaji
nilishawahi sana hasa nikikutana na warembo kitaa natamani ningekuwa mwanaume mimi aisee lazima...Me mwanamume lakini kwa hapo nimekosa jibu
Ivi samahan miss chagga ushawah kutamani ungezaliwa wa kiume?