Utachelewa mafanikio kama siyo msomaji wa vitabu

Utachelewa mafanikio kama siyo msomaji wa vitabu

Jakaya na Bahresaa sio Wasomaji wa Vitabu
kila mwaka matajiri wakubwa wanatumia pesa nyingi kuwaajili watu waliobobea duniani katika fani ya ujasiriamali na kujifunza kupitia vitabu
sababu kwenye vitabu tayar kila jambo unalolifanya kuna watu walishapro hilo nakusema hili inabidi lifanyike hivi
 
NINA VITABU HAPA VIMEJAA KABATI NA NIMESOMA VYOTE NA BADO NAISHI NYUMBA YA KUPANGA...CHAI YENYEWE SIJANYWA
 
NINA VITABU HAPA VIMEJAA KABATI NA NIMESOMA VYOTE NA BADO NAISHI NYUMBA YA KUPANGA...CHAI YENYEWE SIJANYWA
umeshasoma kitabu cha richest man in babylon?
umezifata zile kanuni zote kama zilivyo na bado hakuna kilichobadilika?
 
Mambo ya kwenye vitabu na game la life kitaa ni tofauti kabisa. Yaani unaweza kusoma vitabu kibao ukija kwenye real life situation ikakua tofauti kabisa. Sema usome vitabu kupata maarifa na kuongeza uelewa sio kufanikiwa.
Waandishi wengi wa vitabu wanaofundisha hizo mbinu za kufanikiwa wenyewe wanategemea wauze copy nyingi za vitabu vyao ili wapate pesa.
 
Back
Top Bottom