Kuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu
Unachagua kidonge kipi? Kwanini?
Karibuni
Yaani nirudi utotoni nichapwe tena fimbo?Kuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu
Unachagua kidonge kipi? Kwanini?
Karibuni wadau
Dah Kidonge cha Chekundu ili waniandike kwenye Maajabu Saba Duniani 😅🤣🤣Kuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu
Unachagua kidonge kipi? Kwanini?
Karibuni wadau
ILa tatizo Ukicorrect hizo mistakes Tu unakuwa Umechagua another Path na hutakuwa na Maisha uliyonayo sasa..Nitaenda na chaguo la kwanza
Kuna mistake nyingi sana ningependa kuzisahihisha ambazo madhara yake yalikua ni zaidi ya 1 Billion
Ukimaliza kusoma uchague lo😊
Ni mfano etKuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu
Unachagua kidonge kipi? Kwanini?
Karibuni wadau
Fact 💪ILa tatizo Ukicorrect hizo mistakes Tu unakuwa Umechagua another Path na hutakuwa na Maisha uliyonayo sasa..
(Timetravelling Paradox)..
Ukicorrect hizo mistake unachoose anothee timeline path..
Kwa mfano tuseme Hukufaulu Form six ukafanikiwa Kucorrect na ukafaulu form six utakutana na marafiki wengine even Another life kabisa