Utabiri wangu

Utabiri wangu

Shiwawa

Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
30
Reaction score
10
Kwa kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1.Umeshika simu yako ya mkononi.
2.Unasoma hii habari unatumia dole gumba.
3.Wewe ni binadamu hai kabisa.
4.Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo.
5.Nakuona umejaribu kusema neno PIPI.
7.Unajicheka mwenyewe.
8.Unaendelea kusoma ujumbe huu.
9.Unatabasamu!
10.Umeruka namba 6
11.Umerudi kucheki kama kuna namba 6.
12.Umetabasamu! UNACHEKA! 13.je umekubali kuwa mimi ni mtabili!?? Kweli Mimi NOMA,Unajiandaa kui copy
 
Mkuu nimekubali kipaji chako..ila kaongeze maukipaji mengine uyalete humu
 
Umekosea sana... Kwanza natumia computer sio simu... Pili sijatumia dole gumba kwan na scrol kwa mouse... Pia sjacheka ni siikopi ng'ooo
 
pia kwangu umegonga mwamba natumia PC na kama unajihsi ni mtabiri nitajie aina ya hii Pc na model ndo nikuiznishe kuwa mtabiri
 
:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
 
pia kwangu umegonga mwamba natumia PC na kama unajihsi ni mtabiri nitajie aina ya hii Pc na model ndo nikuiznishe kuwa mtabiri

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Makunguru International school Mbeya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom