Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,539 Nov 19, 2024 #1 Leo Taifa Stars itapokea kichapo cha goli 2 kwa nunge. Hatujawahi kuwa serious kwenye hatua za mechi za mwisho huwa tunafunga timu ambazo hazina wachezaji mhimu na wala hamna hicho kiwango mnachosifu Taifa,Taifa kuingia matopeni leo.
Leo Taifa Stars itapokea kichapo cha goli 2 kwa nunge. Hatujawahi kuwa serious kwenye hatua za mechi za mwisho huwa tunafunga timu ambazo hazina wachezaji mhimu na wala hamna hicho kiwango mnachosifu Taifa,Taifa kuingia matopeni leo.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,813 Reaction score 39,587 Nov 19, 2024 #2 Kila la heri Guinea Baltasary Engonga