Utabiri wangu kwa mwaka 2012

naongezea
1.jk kuondolewa ikulu kama alivyotoka mbeki wa s/afrika
2.uchaguzi mdogo igunga kufanyika
 
mkuu nifafanulie kuhusu no 3'tupe sababu za msingi
 
20. CCM kuahirisha chaguzi zake za ndani hadi 2014 baada ya kushtushwa na Lowassa kuchukua form ya uenyekiti
21. Samweli Sita avuliwa aachwa baada ya rais kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri ambapo Ngeleja na Mwakyembe ni waanga
pia.
22. Nape Nnauye ashinda uchaguzi wa udiwani baada ya diwani wa awali kupitia CCM kusombwa na mafuriko na kuacha jimbo wazi
23. David Cameroon kuitembelea Tanzania na kusisitiza kuwa misaada itazidi kumwagika
 
Ntafanya maombi huo utabiri utimie kama ulivo mkuu! Kasoro hio No.2!
 
mwisho wa yote ni mtatiro kuwa mtume mpya ccm b baada ya prof lipumbavu oooh sorry ,lipumba.
 
huyo bolded ni wa chama gani??
 
3. Mbunge wa Shinyanga mjini kupitia Magamba Ndugu Steiven masele ambaye hakushinda na akatangazwa mshindi kesi yake itaendelea tena trh 8 feb mahakama kuu tabora kama mahakama ikiamua kuchakachua kama ilivyofanya kwenye jimbo la Mwibara, nguvu ya umma itatumika, kuna kifungu cha sheria ndani ya hii katiba mbovu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, tutatembeza petition na kama robo tatu ya wapiga kura wa jimbo wakisema hawamtaki kwa kusain hiyo petition kwa majina na namba zao za shahada za kupigia kura tunamng'oa kiulaini na hili zoezi litafanyika very soon baada ya hukumu ya mahkama, kama watachakachua, otherwise kila kitu kipo shwari tuna ushahidi wa vituo vyote vilivypogia kura na karatasi zake original na matokeo halisi na tulishinda kwa kura nyingi tu, sasa yeye masele na stupid mkurugenzi watuambie walizipata wapi hizo kura walizojitangazia
Nadhani nimeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…