Utabiri wangu juu ya North Korea vs USA

Utabiri wangu juu ya North Korea vs USA

Kwanza siku moja kubwa yaani ashinde ndani masaa matatu nje ya hapo atashindwa vibaya. Makombora ya USA yanayotumia computer kusetiwa system yake ishakuwa hacked kitambo ndio maana mapanki anajitutumua hivyo kwasababu siraha za kuilipua marekani wanazimiliki wenyewe.
Wabongo kwa story za ghahawa siwawezi yani unajua kuwa syste ya makombora ya USA imeshakuwa hacked ila USA hajui?
Amazing....
 
Back
Top Bottom