buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 2,007
- 7,118
Habarn wanajamvi
Uwezekano wa kutokea haka kavita ni mdogo mnooooooooo
Hii ni kutokana kwamba marekani hapendi kushambuliwa yeye anaonaga raha anavowatwanga watu bila yeye kuathirika
Sasa kilichotokea ni kwamba haka kadogo ( mapanki) yani anaonyesha anaasilimia kubwa za kuweza kuishambulia marekani direct yan nikamaanisha ndonga ikitaget Washington ujue kweli inatua hapo hapo hakuna cha rada za marekani wala vinini sijui....na kama unavojua nuclia CIO Bomu LA kutupa kwa mkono kama Yale ya Rambo na mwenzie Arnold
Gharama za kusafsha eneo lililoathirika na atomic bomb ni kubwa mnooooo
Kwa hizi mbwembwe za US ninazozioa ni dhahiri kashatambua kuwa mapanki hanaga utani kabisaaaaa
Halaf hao wajapan wanenda kichwa kichwa tu as if hawakumbuki kuwa wao ndo nchi pekee duniani ambayo ishawahi pata kipondo cha nyuklia
Hapa wajapani ilibidi waufyate tu wawaachie wanaotaka kujaribu na Wao waone madhara ya kitu cha atomic kinavojua kuteketeza raia as if kinaua sisimizi coz hii kitu inatoa joto sio LA nchii hii yani inakuchukua sekunde tu unanyauka kama vumbi
Haya haya tupieni vimaneno hapo