kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,822
- 2,197
Asante sana mkuu.....!!!!Kwanza inatakiwa ujue north Korea anauwezo wa kurusha kombola lake LA nyuklia na likafanikiwa kufika marekani pasipo kutunguliwa au kufanywa chochote coz hlo Bomu lipo controlled had linaposhambilia
Kitu chapili ni kwamba north Korea anayoteknolojia isiyoeleweka yaan wanaijua makomandoo wao na vile vkund vyao vya siri
Kitu cha tatu marekani akishindwa kuangamiza silaha na makombola yote yaliyopo north Korea ndani ya Sikh moja maana yake mapanki atayatumia Siku hyo hyo au siku inayofuata tens kwa kishindo kikubwa