Hivi mmesahau kwa huyu ni yule shehe aliyewahi kutabiri kwamba kwenye uchaguzi wa 2005 Tanzania ingepata rais wa kike????????????????????????. Yeye yupo kazini jamani
Huko mbona mbali sana jamani, mimi nilishawahi kupiga simu kati ya moja ya vipindi vyake redioni na kumuuliza juu ya mahesabu yake inakuwaje kila siku anatabiri kwamba timu fulani ya mpira itashinda au itashindwa je inakuwaje pale timu zinapotoka draw/ suluhu bila ya kufungana mbona hajawahi sema hata siku moja mahesabu yake yanakwqenda vipi?
Kilichoendelea sijui ila swali langu sikujibiwa wala kuongelewa kabisa.
Shekhe Yahaya hana kitu,anabahatisha tu,mbona yeye aliponea chupuchupu,kwanza ashauriwe aache kuchuria watu,vifo vyote hupangwa na Mungu hata kama binadamu ndio walipanga hakiwi bila Mungu kuamua.Aache kudanganya watu kwani yeye ni nani eti anajua Mungu kapanga nini.Kama anatoa miti shamba aendelee ila kudanganya kwa utabiri aache kwani anawadanganya watu kisaikolojia.Alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi Juni
Tayari wafuatao wametutoka:
Kabla yao alitangulia Mwana mipasho Bi. Nasma Khamis Kidogo. Kumbe hii sayansi ya Nyota inafanya kazi!
- Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi
- Prof Haroub Othman
Alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi Juni
Tayari wafuatao wametutoka:
Kabla yao alitangulia Mwana mipasho Bi. Nasma Khamis Kidogo. Kumbe hii sayansi ya Nyota inafanya kazi!
- Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi
- Prof Haroub Othman
nami natabiri tutawapoteza wana jf 15 kati ya mwezi july na october.
Haa haa haaaaa !! Labda alimaanisha kulia, ila akatumia sanaa ya lugha. BTW unatakiwa kujaribu kuimba siku moja ili utujulishe kama haiwezekani au la !! 😀...Kuna siku alisema watu wa nyoto yangu (taurus) ili mapenzi yadumu inatakiwa kuimba wakati wakujamiana..! How on earth one can sing during sex..?
Haa haa haaaaa !! Labda alimaanisha kulia, ila akatumia sanaa ya lugha. BTW unatakiwa kujaribu kuimba siku moja ili utujulishe kama haiwezekani au la !! 😀
Mkuu, kweli unataka specifics?
All in all, upande wangu mimi hawa watabiri wangekaa na tabiri zao tu, watuletee za hali ya hewa peke yake!
Wengi walishaondoka na wengi wataondoka so huu siyo utabiri wa kuaminika.Angalia threads zinazoulizia wana JF mbalimbali wako wapi.
Jaribu kutabiri kitu kingine ndugu.
Uliimba? Ungeimba um-prove wrong! Wewe mwenyewe hukutimiza masharti halafu unalalamika ni "mwongo". Mwongo gani kama hata hukujaribu.I dont trust this man either...! Wizi mtupu.! Kuna siku alisema watu wa nyoto yangu (taurus) ili mapenzi yadumu inatakiwa kuimba wakati wakujamiana..! How on earth one can sing during sex..?
Unaposema awe specific una maana gani? Aseme majina ya watu watakaopatwa na majanga, siku, saa, tarehe na mwaka? Mmh, kama ni hivyo sasa ni shughuli! Mi nadhani alikuwa specific kwa maana kwamba alitaja mwezi (Juni), akataja mahali (hapa nchini), akaspecify kwamba si mtu yeyote bali mtu maarufu. Yaani kwenu haya maelezo hayatoshi? Kwani kilichobakia hapo ni jina tu. Mengine yote yameshatabiriwa.What I meant to say mkuu ni kwamba utabiri wake uko in general mno so hauwezi kusema anafanya utabiri. Angekua anasema specificaly kitatokea hiki labda ungesema ana nguvu fulani ziwe za Kimungu au za kigiza. Hata mimi sasa hivi naweza kusema mwezi fulani mtu fulani maarufu atakufa and chances are it wil happen maana watu maarufu wako wengi duniani na kila mwezi kuna mtu maarufu anayekufa.
Unaposema awe specific una maana gani? Aseme majina ya watu watakaopatwa na majanga, siku, saa, tarehe na mwaka? Mmh, kama ni hivyo sasa ni shughuli! Mi nadhani alikuwa specific kwa maana kwamba alitaja mwezi (Juni), akataja mahali (hapa nchini), akaspecify kwamba si mtu yeyote bali mtu maarufu. Yaani kwenu haya maelezo hayatoshi? Kwani kilichobakia hapo ni jina tu. Mengine yote yameshatabiriwa.
Tukubali kwamba elimu hiyo ya mzee Yahya wengi wetu hatuijui. Na si makosa yetu. Kutokuijua haina maana kwamba haipo. Kwani mangapi hatuyajui hata kwa elimu ya kawaida ya kisayansi? La maana tungedadisi huyu mzee anawezaje kujua future events? What is the source of his knowledge?
Hebu sikia mkuu! Kitu chenyewe kinaitwa "Utabiri". Kitu kilichotabiriwa maana yake chaweza kutokea au kinaweza kisitokee. Utabiri is not a certain foreseen event. Utabiri unaacha mwanya wa jambo kutotokea pia. Ndo maana unaitwa utabiri. Shida ya wengi wanataka utabiri uwe na jibu hakika, kamili, lisilo na mashaka. Huu si utabiri tena.Mkuu maana ya utabiri ni kutabiri haswa nini kitatokea na kitatokeaje. Kasema mtu maarufu atakufa June, watu wangapi maarufu wamesha kufa hii June? Sasa ni yupo kati ya hao ndiyo alikuwa ame tabiri watakufaa? Siwezi kuamini kitu kwa kufuata tu mkumbo lazima niridhike kuwa kitu ni kweli. Sikatazi wengine kuamini ila mimi siwezi amini hivi hivi tu. Kama wewe ni mmoja wanaoamini kwamba kweli ana uwezo wa kutabiri that's all fine and well.