Utabiri wa nyota

Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
17,369
2,000
Watu wenye asili ya upepo na tabia zao

Watu wenye asili ya Upepo na tabia zao May 21- June 20 na September 23 - October 22 na January 20 - February 18, na watu wenye kuanziwa na herufi C, O, S,G, K, W au watu waliozaliwa tarehe 3, 7, 11, 15, 19, 23,27 na 31 au watu wenye sauti nzuri, wenye athari katika vifua vyao au migongo yao, watu wafupi wenye miguu minene,wenye kunyoa vipara au watu wenye rangi ya kuteleteza na wenye mikono myepesi au watu wenye vifua vya kutanuka, wenye mdomo ulio kolea weusi na pua yenye ubapa wenye macho ya kati kwa kati watu hawa tabia zao ni watu wanaopenda kusaidia watu, wanapenda kushauri wenzao pasipo wao kushauriwa na ni watu wenye kupata umaarufu na ni watu wenye kupenda kujishughulisha kibiashara na ni watu wenye kupenda kuwasaidia hata maadui zao pasina kujali ni wenye kubadilika badilika na wenye uamuzi wa haraka ni watu wenye kupendwa na watu kwani kazi wanazozifanya ni kazi kushawishi watu au za kuburudisha watu na pia hutegemewa na watu katika kazi zao na wana bahati ya kupendwa na wazazi wao na watu wenye kupenda kujipumzisha kwenye upepo na kipato chao ni chenye kubadilika badilika na ni watu wenye kupenda kusaidiwa na watu fulani na watu hawa mara nyingi huwa hawakai na mpenzi zaidi ya mmoja na hupendwa na wapenzi wasio wapenda wao, Kazi zao hutegemea majira na mara nyingi watu hawa hujishughulisha na shughuli za kuwaburudisha watu, wanapendeza kutoa hutuba na kujishughulisha na siasa na uamuzi wao wa haraka japo hubadilika badilika na ni watu wanaopatwa msongo wa mawazo na mapigo ya moyo kwenda kasi na huwa wnkazi ya ziada kuwaweka sawa wapenzi wao kwani wapenzi wao huhitaji ushauri kutoka kwao wakati mwingine watu hawa huwa ni watu wenye maringo, hupendelea mapambopambo,kujiajiri wao na hupata umaarufu kwa njia wasizozitegemea wao, na huwa na bahati ya kupata marafiki wengi wake kwa waume wakubwa kwa wadogo kutokana na tabia yao ya uaminifu na ukweli na watu hawa maadui zao wengi ni wenye nyota ya udongo kwani watu wa udongo hawapendi kusifia wenzao na hawa wanapenda kusifiwa na mungu huwajalia huishi maisha marefu.

Kazi za watu wa asili hii ni wanamziki,watangazaji,ufundi wa vyombo vya umeme, falsafa, uandishi,siasa, utumishi, kazi za serikali na hujishughulisha na biashara zao ambazo huwaletea matatizo, watu hawa wanabahati ya kukutana na wapenzi wenye asili ya moto na wapenzi wao hunyanyuka kwa kupitia wao, watu rangi zao za kinyota ni kijani kibichi, bluu bahari, kijivu,rangi ya fedha, njano watu hao wanashauriwa kutumia vyakula vyenye utamu utamu mfano matunda yenye asili ya unjano na utamu na wanashauriwa kutumia manukato yenye harufu nzuri wanashauriwa watu hawa kwani hukutana na watu mbalimbali na elimu yao huwasaidia kufika mbali. na nyota zao ni mapacha, mizani, ndoo.

Madini yao ni fedha, shaba, aluminium na mawe yao yawena asili ya ukijani, njano au rangi za kuvutia kwani nyota zao ni za kuvutia vile vile watu wa nyota hii wanashauriwa sana wakae sehemu za mwinuko au sehemu zenye uwanja mkubwa au pembezoni mwa mji watumie hizi kustarehe na wapenzi wao kwani wapenzi wao wa majanga utafutaji wa pesa unahitaji akili nyingi na utunzaji japo ni watu wa kutoa toa pesa hovyo. Mafusho ya nyota zao ni kachiri, mushtaka na miatusaila kwa watu wenye nyota ya ndoo na siku zao ni jumatano kwa mapacha, Jumamosi kwa ndoo na ijumaa kwa mizani kinyota watu hawa wanashauriwa kuwaunganisha marafiki kimapenzi kwani nyota zao ni nyota za kukusanya watu, wanashauriwa kuvaa nguo zenye kupendezesha na kwenda na wakati na mavazi yao mara nyingi yawe ni rangi moja na wanawake wao wanashauriwa kuvaa mapambo sana na viatu virefu, na wanawake wao wanashauriwa kutunza nywele japo hawapendi na mikoba wapende kuvaa. wanashauriwa watembe kwa mwendo wa madaha kwani huwafurahisha wapenzi wao na wapende kuwasemea sauti za chini na kuwaliwaza wawashike wapenzi wao vichwa,shingo zao na masikio yao na wawaminye minye mikono yao watawafurahisha wapenzi wao na washughulike sana wanapokuwa faraghani na wapenzi wao wawashe redio kwa sauti ya chini, muziki wa taratibu au nyimbo zenye kusikitisha na kuonewa, wawashe feni kidogo pembeni, na kwenye falagha wawasifie wapenzi wao kwani huwafurahisha na kuwapa chochote wanachotaka watu hawa hupendwa na ndugu wa wapenzi wao.

C&P
 
careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
900
1,000

Thank u!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom