Utabiri wa nyota leo jumatano 18/6/2025

Utabiri wa nyota leo jumatano 18/6/2025

HOTEP HOTEP WAFALME NA MALIKIA,

Nawakumbusha kwa wale ambao huwa mna RELEASE kwenye FOOLMOON ni leo,
Yaani mwezi unajaa leo,
Natamani kila ambaye anafanyaga ibada ya mwezi- FOOLMOON aniambie huwa anafanyaje nione jinsi ya kurekebisha, ahsante

By Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
 
Izo nyota unazisoma kwa mfumo upi?

Kutafuta pesa kuna mbinu nyingi. Kwanini nisitafute kawaida mpaka mtu mwingine, kwa mazingaombwe anioshee nyota yangu?

Waafrika buana...na hakuna hatua tunayoenda na pamoja na mazingaombwe yote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom