Utabiri wa mrithi wa Shekhe Yahaya..

Utabiri wa mrithi wa Shekhe Yahaya..

Well said Mkuu! Naweza kusema waislamu tuliowengi Tz, hatujui dini (waislamu jina) ndio sababu washirikina kama Shehe Yahaya hawapati upinzani!
...
Sijui nani tumchune ngozi!

Wewe huogopi kugeuzwa paka eee? we haya we!
 
Wewe huogopi kugeuzwa paka eee? we haya we!

Mi ningekuwa na uwezo wa kugeuza watu wanyama basi wewe ningekugeuza punda JIKE mwenye makalio ya kuvutia sana.

Halafu ningeifanya ile mashine ya kukoboa unga ndogoooooo!
Ili ile mibabe ya punda ikushugulikie ipasavyo.

Halafu baada ya miezi kama mitano hivi nakurudisha kuwa binaadamu tena.
Labda hapo ndipo utakapo kuwa na adabu.
 
Hapo kwenye mwaka 2014 sio mzuri kwa viongozi wa dini tunatengua unabii wake kwa damu ya YESU. Mungu ndiye mwenye jibu la mwanadamu. Wakati mwanadamu anakuwazia mabaya Mungu anakuwazia mema. Kama unaamini sema inshaalah au AMINA.
Damu ya Yesu inatengua halafu Mungu ndiye mwenye jibu, mbona siwaelewi kwani si mnasema Yesu ndiye mungu wenu? Sasa kama yesu ndiye mungu wenu kwanini kuwe na watendakazi wawili yaani mungu na yesu!
 
Damu ya Yesu inatengua halafu Mungu ndiye mwenye jibu, mbona siwaelewi kwani si mnasema Yesu ndiye mungu wenu? Sasa kama yesu ndiye mungu wenu kwanini kuwe na watendakazi wawili yaani mungu na yesu!

Teh teh ha ha ha .
Hapo mkuu hata mimi nashindwa kushangaa.
 
Mrithi wa aliyekuwa mtabiri na mganga wa kienyeji marehemu Shekhe Yahaya Hussein, Hassan Yahaya ametabiri mambo mbalimbali yatakayotokea mwaka 2014,kubwa amesema ametabiri kiongozi mkubwa wa chama cha siasa atang'olewa katika nafasi yake.Pia kasema hatua hiyo itamsababishia anguko kubwa la kisiasa kiongozi huyo.Pia kasema rais Kikwete kwa mwaka huu atafanya jambo kubwa ambalo litamjengea heshima kubwa kitaifa na kimataifa.Kaongezd mwaka 2014 sio mzuri kwa viongozi wa kidini.my take:mgogoro wa CDM na ZITTO ndo umepelekea utabiri huu au kuna kiongozi mwingine mkubwa wa chama cha siasa?

Zitto sio kiongozi mkubwa wa chama
 

Huyu si mtabiri kabisa anasoma alama za nyakati halafu anajifanya katabiri. Nani hajui kwamba Kikwete anapaswa kuteua mawaziri kujaza nafasi zilizoachwa wazi na hao waliolazimika kujiuzulu na mmoja kufariki dunia? Zitto inafahamika kabisa kwamba anguko liko mlangoni kwake anasubiriwa kufungua mlango limuangukie. Atabiri nani mgombea urais kupitia CCM?

Ni mbashiri. Mbashiri huwa anangalia hali ya hewa kwanza halafu ndiyo aanaanza kufanya prediction ya matukio. Tuseme siku akiona jua kali sana asubuhi na wingu dogo jeupe kwa mbali, anasema kuwa leo kuna uwezekano mkubwa wa mvua kunyesha. Mtabiri yeye anaweza kukuambia leo mwaka 2014 kuwa, mwaka 2015 Rais wa JMT atakuwa BM au EL na kweli ikaja kuwa hivyo!
 
Ramli za kujipendekeza upate kitu,,,,,, mi huwa camini hizo ramli

İts not scientific to subject into proves
 
hivi ni kwanini yeye ni ALHAJI then anakuwa mshirikina!?!?

Mungu anasena" msiwaendee makuhani wala msiyasadiki maneno yao". Nae anayajua haya ila hayaoni wala hayasikii anaposoma hata akisomewa.
 
Ramli za kujipendekeza upate kitu,,,,,, mi huwa camini hizo ramli

İts not scientific to subject into proves

Mkuu hapo kwenye kimombo.ndio umetuchanganyia vibaya mno.
Manake hata hii kamusi yangu imesala kutoa jibu.
Hebu weka kinyumbani huenda ukawa na ujumbe muhimu.
 
mungu anasena" msiwaendee makuhani wala msiyasadiki maneno yao". Nae anayajua haya ila hayaoni wala hayasikii anaposoma hata akisomewa.

sijakuelewa unataka kimaaanisha nini!?
 
Mkuu najiuliza sana, kwani huyu bwana na mwanae waitwe mashekhe????
...
Sababu ni kuwa Quran imeweka wazi, kupiga ramli ni haramu!
Sikumbuki ni aya gani! But kuna aya inasema:
'hakuna aijuae kesho'
sasa kama hawa mabwana wanapingana na Quran huo ushekhe wameupatia wapi?

Mbona marehemu alikuwa kiongozi wa msikiti kabisa? Haya mambo ni sehemu tu ya mafunzo.
 
Mbona marehemu alikuwa kiongozi wa msikiti kabisa? Haya mambo ni sehemu tu ya mafunzo.

Kiongozi wa msikiti upi?
Mbona we mnafiki unaongea kama mama Nyenyere yuko jikoni anapika kitimoto na makalio ya mbwa?
Unapotaka kuwa mnafiki basi chagua maneno sio kuropoka tu! MaxShimba
 
Last edited by a moderator:
Mbona marehemu alikuwa kiongozi wa msikiti kabisa? Haya mambo ni sehemu tu ya mafunzo.

Khaa! Kuwa kiongozi wa msikiti hata sio issue!
Firauni alikua anaongoza nchi mzima!
...
Waislamu wengi wanamatongo!
Yule jamaa nakubali elimu ya dini anayo! But anaitumia vibaya kwa kuengezea na ushirikina wake!!!
...
Baya zaidi watu wanaelewa ni elimu ya dini ndio inamfanya anakua vile, kitu ambacho sio kweli!!!!
...
Sio kila anachokifanya padri ni ukiristo vilevile sio kila anachofanya shehe ni uislamu!
 

Huyu si mtabiri kabisa anasoma alama za nyakati halafu anajifanya katabiri. Nani hajui kwamba Kikwete anapaswa kuteua mawaziri kujaza nafasi zilizoachwa wazi na hao waliolazimika kujiuzulu na mmoja kufariki dunia? Zitto inafahamika kabisa kwamba anguko liko mlangoni kwake anasubiriwa kufungua mlango limuangukie. Atabiri nani mgombea urais kupitia CCM?

Atabiri pia mgombea huyo wa CCM atapata kura ngapi siyo kutoa utabiri wa kuvizia vizia matuk
 
Kiongozi wa msikiti upi?
Mbona we mnafiki unaongea kama mama Nyenyere yuko jikoni anapika kitimoto na makalio ya mbwa?
Unapotaka kuwa mnafiki basi chagua maneno sio kuropoka tu! MaxShimba

Nimekosea wapi? Ama wataka kupinga kuwa marehemu shehe Yahya hakuwa na msikiti? Unashangaza sana ewe bingwa wa matusi.
 
Last edited by a moderator:
Nimekosea wapi? Ama wataka kupinga kuwa marehemu shehe Yahya hakuwa na msikiti? Unashangaza sana ewe bingwa wa matusi.

Sasa imeshakuwa mimi nimetusi tena?
Wapi nimetukana? Au kuuliza swali ni matusi.
We umesema na unaendelea kusema kuwa shehe yahaya alikuwa na msikiti.

Sasa Nakuuliza huo msikiti wa huyo yahaya uko wapi?.

Mbona swali rahisi tu!? Au uliropoka bahati mbaya? Manake kukosea kumo. We kubali tu kuwa uliropoka. Ili tuendelee.
 
Mungu anasena" msiwaendee makuhani
wala msiyasadiki maneno yao". Nae
anayajua haya ila hayaoni wala hayasikii
anaposoma hata akisomewa.
Kwa bahati mbaya hayo maandiko yenu yeye hasomagi. Lakini hata sie kwenye Qur an zipo aya ambazo zinakataza Shirki. Hayo ni maisha,na akili ya mtu binafsi katika kuitumia vibaya Qur an
 
Back
Top Bottom