Draw ndo kitu naona mm 🤣🤣🤣🤣Habari wanajamvi ,Leo bila kupapasa wala kubipu game la simba na coastal union litsaisha kwa safe au simba kufungwa
Kubali au ukatae ila huo ndo ukweli maana Kyle mkwakwani kuna kazi si ya kitoto
Coast haijawahi sumbua Simba katika hatua kama hizi. Coast ni daraja la Simba wakiwa latika wakati mgumu. Saidoo kama alitumia daraja hili kumfikia Mayeye. Wananchi msifikirie hii kutokea. Hata hivyo gape ya 7 points siyo dogo kwa form wenyenayo Yanga kuelekea ubingwa.Habari wanajamvi ,Leo bila kupapasa wala kubipu game la simba na coastal union litsaisha kwa safe au simba kufungwa
Kubali au ukatae ila huo ndo ukweli maana Kyle mkwakwani kuna kazi si ya kitoto
kikubwa tuwekeane hela asiposhinda nakupa mimi buku ten akishinda unatoa nin?Akishinda uni pm mkuu
coastal wataawaachia ndugu zao simbaHabari wanajamvi ,Leo bila kupapasa wala kubipu game la simba na coastal union litsaisha kwa safe au simba kufungwa
Kubali au ukatae ila huo ndo ukweli maana Kyle mkwakwani kuna kazi si ya kitoto