Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,132
Mtabiri kipofu wa Bulgaria ambaye alipata sifa nyingi kwa utabiri wake miaka ya nyuma ametabiri kusambaa kwa vita kubwa itayoongozwa na ISIS mwaka 2016. itakumbukwa kuwa mtabiri huyo alipata sifa nyingi pale mwaka 1955 alipotabiri dunia kukubwa na global warming ambayo imeanza kutokea. Pia alitabili 9/11 attacks ikatokea. na vile vile alitabili Tsunami kutokea 2004.
Baba Vanga alitabiri kutokea kwa vita ya tatu ya dunia miaka 2010's ambayo wafuasi wake wamesema inaweza kutokea kutokana na uwepo wa ISIS kwani pia ametabiri ISIS itapambana katika vita dhidi ya nchi za Ulaya na kuziangamiza kwa silaha za sumu.
maoni yangu: Watu wanaosoma vizuri vitabu vya imani zote za dini kuu wanawasiwasi sana na Uvamizi dhidi ya SYRIA. wanadai kuwa vita itakayosambaa kutoka hapo itakuwa ni kubwa na ngumu
https://uk.news.yahoo.com/blind-bul...l-be-destroyed-by-isis-075029871.html#dXzwcqW