mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,736
- 1,621
Imekuwa akilini mwangu kwa muda mrefu juu ya hizi unsuccessful two teams. Zikikutana sijui matikeo yatakuwaje na kama Stars itafungwa basi TFF iiondoe timu kushiriki mashindano kwa kupindi hata cha miaka mi 5 kuipika upya.