Utabiri: Shule kufunguliwa Julai

Trainee wa kilinge cha Mshana Jr, hakuna kupiga manyanga wala ramli wala utabiri hapo, wengi tunaamini baada ya form 6 kumaliza, guinea pigs, wa changamoto za upumuaji, kuna uwezekano wengine wote wakarudi kuanzia July 15.

Nje ya mada nyie hamkufunga shule kilingeni??:D

Everyday is Saturday........................... :cool:
 
hatukufunga

Everyday is Gooday
 
Back
Top Bottom